Muda wa kawaida wa kuanzia
Muda unathibitishwa baada ya kuelewa scope, access, mahitaji ya production na approvals.
Duma anaandaa ukurasa
Huduma 05
Kuanzia digital launch hadi kitu cha kushika mkononi, tunalinda ubora na consistency ya kazi.

Inamfaa nani
Inafaa kwa timu inayohitaji campaign assets, printed materials au production iliyoratibiwa bila kupoteza wazo na brand standards kati ya suppliers.
Inaweza kujumuisha nini
Tunavyofanya kazi
Scope hubadilika kulingana na brief. Hatua za kazi hubaki rahisi.
Tunathibitisha hadhira, formats, quantities, technical requirements, majukumu ya bajeti na approval route kabla ya design kuanza.
Tunajenga core direction, kuitumia kwenye materials zilizokubaliwa na kuandaa artwork au brief tayari kwa production.
Production ikiwa ndani ya scope, tunaratibu partners waliokubaliwa, kukagua proof au sample na kufuatilia delivery kwa specification iliyowekwa.
Muda unathibitishwa baada ya kuelewa scope, access, mahitaji ya production na approvals.
Kazi mara nyingi ina scope ya project maalum. Quantities, suppliers, production, usage licences na delivery costs zinaonyeshwa au kuidhinishwa tofauti inapohitajika.
Tunakubaliana kwa maandishi kuhusu scope, majukumu, gharama na muda kabla kazi haijaanza.
Maswali ya maamuzi
Kama swali lako halipo hapa, liweke kwenye brief hapo chini.
Tunaweza kuratibu specialist partners waliokaguliwa ikiwa ni sehemu ya brief. Proposal inaweka wazi nani anacontract kila supplier, kilichojumuishwa na nani anaapprove proofs na costs.
Tutapima deadline halisi, uwezo wa supplier na approvals kabla ya kucommit. Kama muda unaweka ubora au delivery hatarini, tutasema na kupendekeza option salama ya vitendo.
File handover, usage rights na licensed assets zinawekwa wazi kwenye proposal. Pia tunaeleza production files zinazojumuishwa na working files zipi zinabaki kuwa specialist tools.