Duma anaandaa ukurasa

Kuhusu Duma Brands

Wakala wa Tanzania kwa hatua kubwa za kibiashara.

Tunaunganisha mkakati, ubunifu, media na activation kwenye agency partnership moja inayowajibika kwa brands zinazokua Tanzania na Afrika Mashariki.

Kwa nini Duma

Mwelekeo kwanza. Kasi inafuata.

Duma ana kasi, lakini anaanza kwa kusoma mazingira na kuchagua nafasi sahihi. Hiyo ndiyo discipline yetu ya masoko: kumwelewa mteja, kuweka priority ya biashara wazi, kisha kusonga kwa makusudi.

Kiwango chetu

Fikra za senior. Utekelezaji wa vitendo.

Unapata agency relationship moja inayowajibika, ikiwa na specialists wanaofaa kila brief.

01

Biashara kabla ya mapambo

Kila pendekezo linaanzia kwenye uamuzi wa mteja na lengo la biashara.

02

Uelewa wa soko, si tafsiri tu

Mazingira, tabia na uaminifu vinaongoza kazi sawa na lugha.

03

Ushahidi kuliko show

Tunaweka majukumu wazi, tunapima kinachofaa na hatubuni matokeo.

Fanya kazi nasi

Leta changamoto ya biashara.

Huhitaji brief iliyokamilika. Tuambie biashara inahitaji kubadilisha nini, nasi tutatengeneza hatua ya kwanza inayofaa.

Brief ya mradi

Weka changamoto mezani.

Maswali machache yanatusaidia kukupa hatua inayofaa biashara yako—sio package ya jumla.

Hatua ya 1 kati ya 2 · Taarifa zako
Hatua ya 1 kati ya 2 · Taarifa zako
Hatua ya 2 kati ya 2 · Brief ya kazi
  • Kwa kawaida tunajibu ndani ya siku moja ya kazi
  • Tunatumia taarifa zako kujibu ombi hili tu
  • Hakuna pressure ya mauzo

Unataka mazungumzo ya haraka? Ongea nasi WhatsApp ↗