Duma anaandaa ukurasa

Kazi ya mteja · Kargo Tanzania

Digital visibility na campaign content kwa kampuni ya logistics

Social media content na campaign creative zilizounga mkono kampeni ya Nitume Nikuletee na uwepo wa Kargo Tanzania mtandaoni.

Contribution yetu

Scope na maelezo ya jukumu.

Mteja / brand
Kargo Tanzania
Jukumu
Campaign development, social content na digital advertising support
Maelezo
Kazi hii ni sehemu ya agency experience iliyo ndani ya Duma Brands; contribution imeelezwa kwenye jukumu hapo juu.
Matokeo
Hayachapishwi bila ruhusa ya mteja.