Kazi ya mteja · Honda Tanzania
Ubunifu wa kampeni ya hapa kwa waendesha pikipiki wa kila siku
Mkakati wa kampeni na social content iliyowasilisha uaminifu, uwezo wa bei na matumizi ya kila siku huku ikilinda brand consistency ya Honda.
Contribution yetu
Scope na maelezo ya jukumu.
- Mteja / brand
- Honda Tanzania
- Jukumu
- Creative strategy na visual content
- Maelezo
- Kazi hii ni sehemu ya agency experience iliyo ndani ya Duma Brands; contribution imeelezwa kwenye jukumu hapo juu.
- Matokeo
- Hayachapishwi bila ruhusa ya mteja.